DADA WA KAZI AKUTWA AMEULIWA NDANI/NGUO ZAKE ZAKUTWA PEMBENI/NYUMBA YAPULIZIWA MARASHI MAKALI
Maeneo ya Kimara Suka kumetokea tukio la kusikitisha ambapo Msichana wa kazi amekutwa ameuliwa akiwa ndani peke yake.Akielezea tukio hilo lwa uchungu Mama mwenye nyumba amesema alipigiwa simu kutoka shulen kwa mwanae akiambiwa kwamba hakuna mtu wa kumpokea mtoto geti…
Maeneo ya Kimara Suka kumetokea tukio la kusikitisha ambapo Msichana wa kazi amekutwa ameuliwa akiwa ndani peke yake.Akielezea tukio hilo lwa uchungu Mama mwenye nyumba amesema alipigiwa simu kutoka shulen kwa mwanae akiambiwa kwamba hakuna mtu wa kumpokea mtoto geti alifunguliwi.Ndipo akamuomba jirani yake ampokelee mtoto na yeye kurudi nyumbani kutaka kujua dad ameenda wapi.Baada ya kufika nyumbani alikuta milango imefungwa lakini alikuwa na funguo za ziada ndipo alipoingia alimkuta dada wa kazi amelala chini akiwa tayari amefariki.
Tizama hapa umtizame Mama mwenye nyumba akielezea kwa uchungu
#geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah